Mathayo 22:11-12
Mathayo 22:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mfalme alipoingia kuwaona wageni, akamwona mtu mmoja ambaye hakuvaa mavazi ya harusi. Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la harusi?’ Lakini yeye akakaa kimya.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini alipoingia yule mfalme ili kuwatazama wageni wake, akaona mle mtu mmoja asiyevaa vazi la arusi. Akamwambia, Rafiki, uliingiaje humu nawe huna vazi la arusi? Naye akatekewa.
Shirikisha
Soma Mathayo 22