Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 22:11-12

Mt 22:11-12 SUV

Lakini alipoingia yule mfalme ili kuwatazama wageni wake, akaona mle mtu mmoja asiyevaa vazi la arusi. Akamwambia, Rafiki, uliingiaje humu nawe huna vazi la arusi? Naye akatekewa.

Soma Mt 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 22:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha