Mathayo 15:19-20
Mathayo 15:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa. Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wizi, ushuhuda wa uongo, na matukano; hayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula kabla hajanawa mikono hakumtii mtu unajisi.
Shirikisha
Soma Mathayo 15