Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:19-20

Mathayo 15:19-20 NEN

Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio. Haya ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:19-20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha