Mathayo 15:15-17
Mathayo 15:15-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Petro akasema, “Tufafanulie huo mfano.” Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni?
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:15-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo. Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?
Shirikisha
Soma Mathayo 15