Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:15-17

Mathayo 15:15-17 SRUV

Basi Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo. Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?

Soma Mathayo 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:15-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha