Mathayo 15:10-11
Mathayo 15:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe! Kitu kinachomtia mtu unajisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu unajisi.”
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaita makutano akawaambia Sikilizeni, mfahamu; Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi.
Shirikisha
Soma Mathayo 15