Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:10-11

Mathayo 15:10-11 NEN

Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe: kinachomfanya mtu kuwa najisi mbele za Mungu si kile kiingiacho kinywani mwake, bali ni kile kitokacho kinywani mwake.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:10-11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha