Mathayo 15:1-2
Mathayo 15:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza, “Kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu? Hawanawi mikono ipasavyo kabla ya kula!”
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema, Mbona wanafunzi wako huyavunja mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula.
Shirikisha
Soma Mathayo 15