Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:1-2

Mathayo 15:1-2 BHN

Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza, “Kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu? Hawanawi mikono ipasavyo kabla ya kula!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha