Walawi 19:29-30
Walawi 19:29-30 Biblia Habari Njema (BHN)
“Usimchafue binti yako kwa kumfanya kahaba, nchi nzima isije ikaangukia katika ukahaba na hivyo kujaa uovu. Mtazishika Sabato zangu na kupaheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:29-30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu. Zishikeni Sabato zangu, mpaheshimu patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA.
Shirikisha
Soma Walawi 19