Mambo ya Walawi 19:29-30
Mambo ya Walawi 19:29-30 SRUV
Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu. Zishikeni Sabato zangu, mpaheshimu patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA.