Yohane 7:10-11
Yohane 7:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, Yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri. Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?”
Shirikisha
Soma Yohane 7Yohane 7:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata ndugu zake walipokwisha kupanda kuiendea sikukuu, ndipo yeye naye alipopanda, si kwa wazi bali kana kwamba kwa siri. Basi Wayahudi wakamtafuta kwenye sikukuu, wakasema, Yuko wapi yule?
Shirikisha
Soma Yohane 7