Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 7:10-11

Yohana 7:10-11 NEN

Lakini ndugu zake walipokwisha kuondoka kwenda kwenye Sikukuu, yeye pia alikwenda lakini kwa siri. Wayahudi walikuwa wakimtafuta huko kwenye Sikukuu na kuulizana, “Yuko wapi huyu mtu?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 7:10-11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha