Yohane 5:22-23
Yohane 5:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Baba hamhukumu mtu yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana, ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba ambaye amemtuma.
Shirikisha
Soma Yohane 5Yohane 5:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena Baba hamhukumu mtu yeyote, bali amempa Mwana hukumu yote; ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyemtuma.
Shirikisha
Soma Yohane 5