Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 5:22-23

Yohana 5:22-23 NEN

Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana, ili wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Yeyote asiyemheshimu Mwana, hamheshimu Baba aliyemtuma.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 5:22-23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha