Yohane 4:37-38
Yohane 4:37-38 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo msemo huu ni kweli: ‘Mmoja hupanda na mwingine huvuna.’ Mimi nimewatuma mkavune mavuno ambayo hamkuyatolea jasho; wengine walifanya kazi, lakini nyinyi mnafaidika kutokana na jasho lao.”
Shirikisha
Soma Yohane 4Yohane 4:37-38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana hapo neno hilo huwa kweli, Mmoja hupanda akavuna mwingine. Mimi niliwatuma myavune yale msiyoyataabikia; wengine walitaabika, nanyi mmeingia katika taabu yao.
Shirikisha
Soma Yohane 4