Yohane 4:28-30
Yohane 4:28-30 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu, “Njoni mkamwone mtu aliyeniambia mambo yote niliyotenda! Je, yawezekana kuwa yeye ndiye Kristo?” Watu wakatoka mjini, wakamwendea Yesu.
Shirikisha
Soma Yohane 4Yohane 4:28-30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda zake mjini, akawaambia watu, Njoni, mtazame mtu aliyeniambia mambo yote niliyoyatenda. Je! Inawezekana kuwa huyu ndiye Kristo? Basi wakatoka mjini, wakamwendea.
Shirikisha
Soma Yohane 4