Yohane 4:15-16
Yohane 4:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyo mwanamke akamwambia, “Bwana, nipe maji hayo ili nisione kiu tena; na, nisije tena mpaka hapa kuteka maji.” Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”
Shirikisha
Soma Yohane 4Yohane 4:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, unipe maji hayo, nisione kiu, wala nisije hapa kuteka. Yesu akamwambia, Nenda kamwite mumeo, uje naye hapa.
Shirikisha
Soma Yohane 4