Yeremia 4:25-26
Yeremia 4:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilikodoa macho wala sikuona mtu; hata ndege angani walikuwa wametoweka. Niliona nchi yenye rutuba imekuwa jangwa, na miji yake yote imekuwa magofu matupu, kwa sababu ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
Yeremia 4:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikaangalia, na tazama, hapakuwa na mtu hata mmoja, na ndege wote wa angani wamekwenda zao. Nikaangalia, na tazama, shamba lililozaa sana limekuwa ukiwa, na miji yake yote ilikuwa imebomoka mbele za BWANA, na mbele za hasira yake kali.
Yeremia 4:25-26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)