Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 4:25-26

Yeremia 4:25-26 NEN

Nilitazama, wala watu hawakuwepo; kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake. Nilitazama, hata nchi iliyokuwa imestawi vizuri imekuwa jangwa, miji yake yote ilikuwa magofu mbele za BWANA, mbele ya hasira yake kali.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha