Yeremia 23:9
Yeremia 23:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika habari za manabii. Moyo wangu ndani yangu umevunjika, Mifupa yangu yote inatikisika. Nimekuwa kama mtu aliye mlevi, Na kama mtu aliyeshindwa na divai; kwa ajili ya BWANA, na kwa ajili ya maneno yake matakatifu.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuhusu hao manabii wasiofaa, mimi imevunjika moyo, mifupa yangu yote inatetemeka; nimekuwa kama mlevi, kama mtu aliyelemewa na pombe, kwa sababu yake Mwenyezi-Mungu na maneno yake matakatifu.
Shirikisha
Soma Yeremia 23