Yeremia 23:8
Yeremia 23:8 Biblia Habari Njema (BHN)
bali wataapa kwa kusema, ‘Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu aliyewatoa na kuwaongoza Waisraeli kutoka nchi ya kaskazini na kutoka nchi zote ambako aliwatawanya.’ Kisha wataishi katika nchi yao wenyewe.”
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini, Aishivyo BWANA, aliyewapandisha na kuwaongoza wazao wa nyumba ya Israeli kutoka nchi ya kaskazini, na kutoka nchi zote nilikowafukuza; nao watakaa katika nchi yao wenyewe.
Shirikisha
Soma Yeremia 23