Yeremia 23:21
Yeremia 23:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mimi sikuwatuma hao manabii, lakini wao walikwenda mbio; sikuwaambia kitu chochote, lakini wao walitabiri!
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi sikuwatuma manabii hao, lakini walikwenda mbio; sikusema nao, lakini walitabiri.
Shirikisha
Soma Yeremia 23