Yeremia 23:20
Yeremia 23:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hasira ya BWANA haitarudi, hata atakapokwisha kuyatimiza makusudi ya moyo wake; katika siku za mwisho mtalifahamu neno hili kabisa.
Shirikisha
Soma Yeremia 23