Yeremia 23:19
Yeremia 23:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Tazama, dhoruba kutoka kwa Mwenyezi-Mungu! Ghadhabu imezuka; kimbunga cha tufani kitamlipukia mtu mwovu kichwani.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, tufani ya BWANA, yaani, ghadhabu yake, imetokea; ni kimbunga cha tufani; itapasuka, na kuwaangukia waovu vichwani.
Shirikisha
Soma Yeremia 23