Yeremia 23:12
Yeremia 23:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo njia zao zitakuwa vichochoro vya utelezi gizani ambamo watasukumwa na kuanguka; maana, nitawaletea maafa, ufikapo mwaka wa kuwaadhibu, Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa ajili ya hayo njia yao itakuwa kwao kama mahali pa kuteleza gizani; watateremshwa na kuanguka hapo; kwa maana nitaleta uovu juu yao, naam, mwaka wa kujiliwa kwao, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 23