Yeremia 23:11
Yeremia 23:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema: “Manabii na makuhani, wote hawamchi Mungu, uovu wao nimeuona hata nyumbani mwangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nabii, na kuhani, wote wawili wanakufuru; naam, katika nyumba yangu nimeuona uovu wao, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 23