Isaya 40:17-18
Isaya 40:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mataifa yote si kitu mbele yake; kwake ni vitu duni kabisa na batili. Mtamlinganisha Mungu na nini basi, au ni kitu gani cha kumfananisha naye?
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mataifa yote huwa kama si kitu mbele zake; huhesabiwa kwake kuwa duni kabisa na batili. Basi, mtamlinganisha Mungu na nani? Au mtamfananisha na mfano wa namna gani?
Shirikisha
Soma Isaya 40