Isaya 40:17-18
Isaya 40:17-18 SRUV
Mataifa yote huwa kama si kitu mbele zake; huhesabiwa kwake kuwa duni kabisa na batili. Basi, mtamlinganisha Mungu na nani? Au mtamfananisha na mfano wa namna gani?