Hosea 6:10-11
Hosea 6:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeona jambo la kuchukiza sana miongoni mwa Waisraeli: Watu wa Efraimu wanakimbilia miungu mingine naam, Waisraeli wamejitia unajisi. Nawe Yuda hali kadhalika, nimekupangia wakati utakapovuna adhabu.
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika nyumba ya Israeli nimeona jambo bovu kabisa; huko uzinzi umeonekana katika Efraimu; Israeli ametiwa unajisi. Tena, Ee Yuda, wewe umeandikiwa mavuno, hapo nitakapowarudisha wafungwa wa watu wangu.
Shirikisha
Soma Hosea 6