Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 6:10-11

Hosea 6:10-11 SRUV

Katika nyumba ya Israeli nimeona jambo bovu kabisa; huko uzinzi umeonekana katika Efraimu; Israeli ametiwa unajisi. Tena, Ee Yuda, wewe umeandikiwa mavuno, hapo nitakapowarudisha wafungwa wa watu wangu.

Soma Hosea 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 6:10-11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha