Waebrania 2:3
Waebrania 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, sisi tutaokokaje kama hatuujali wokovu mkuu kama huu? Kwanza Bwana mwenyewe aliutangaza wokovu huu, na wale waliomsikia walituthibitishia kwamba ni kweli.
Shirikisha
Soma Waebrania 2Waebrania 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
sisi je! Tutapataje kupona, tukipuuza wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kisha ukathibitika kwetu na wale waliomsikia
Shirikisha
Soma Waebrania 2