Waebrania 2:11
Waebrania 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye anawatakasa watu dhambi zao, naye pamoja na wale waliotakaswa, wote wanaye Baba mmoja. Ndiyo maana Yesu haoni aibu kuwaita hao, ndugu zake
Shirikisha
Soma Waebrania 2Waebrania 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana yeye atakasaye na hao wanaotakaswa wote pia watoka kwa mmoja. Kwa ajili hii haoni haya kuwaita ndugu zake
Shirikisha
Soma Waebrania 2