Waefeso 5:6-7
Waefeso 5:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Msikubali kudanganywa na mtu kwa maneno matupu; maana, kwa sababu ya mambo kama hayo ghadhabu ya Mungu huwajia wote wasiomtii. Basi, msishirikiane nao.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu asiwadanganye kwa maneno yasiyo na maana; kwa kuwa kwa sababu ya hayo hasira ya Mungu huwajia wana wa uasi. Basi msishirikiane nao.
Shirikisha
Soma Waefeso 5