Waefeso 5:5
Waefeso 5:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Jueni wazi kwamba mwasherati yeyote au mchafu au mchoyo, (ambao ni sawa na kuabudu sanamu), au mtu yeyote wa aina hiyo hataambulia chochote katika ufalme wa Kristo na wa Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, (ndiye mwabudu sanamu), aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5