Waefeso 5:17-18
Waefeso 5:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya Bwana. Acheni kulewa divai maana hiyo itawaangamiza, bali mjazwe Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana. Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho
Shirikisha
Soma Waefeso 5