Waefeso 5:15-16
Waefeso 5:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi. Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima. Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi angalieni sana jinsi mnavyoenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; mkiukomboa wakati kwa maana nyakati hizi ni za uovu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5