Waefeso 4:7-8
Waefeso 4:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo. Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.”
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo. Hivyo husema, Alipopaa juu aliteka mateka, Akawapa wanadamu vipawa.
Shirikisha
Soma Waefeso 4