Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:7-8

Waefeso 4:7-8 NEN

Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo. Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 4:7-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha