Kumbukumbu la Sheria 11:25
Kumbukumbu la Sheria 11:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hapatakuwa na mtu atakayeweza kusimama mbele yenu; BWANA, Mungu wenu, ataweka utisho wenu na kuhofiwa kwenu juu ya nchi yote mtakayoikanyaga, kama alivyowaambia.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11Kumbukumbu la Sheria 11:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna mtu yeyote atakayeweza kuwakabili. Popote mtakapokwenda katika nchi hiyo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawatia watu hofu wawaogope, kama alivyowaahidi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11