Danieli 6:27-28
Danieli 6:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye hukomboa na kuokoa, hufanya ishara na maajabu mbinguni na duniani, maana amemwokoa Danieli makuchani mwa simba.” Basi, Danieli akapata fanaka wakati wa utawala wa mfalme Dario na wa mfalme Koreshi, Mpersi.
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye huponya na kuokoa, hutenda ishara na maajabu mbinguni na duniani, ndiye aliyemponya Danieli na nguvu za simba. Basi Danieli huyo akafanikiwa katika enzi ya Dario, na katika enzi ya Koreshi, Mwajemi.
Shirikisha
Soma Danieli 6