Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 6:27-28

Danieli 6:27-28 SRUV

Yeye huponya na kuokoa, hutenda ishara na maajabu mbinguni na duniani, ndiye aliyemponya Danieli na nguvu za simba. Basi Danieli huyo akafanikiwa katika enzi ya Dario, na katika enzi ya Koreshi, Mwajemi.

Soma Danieli 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 6:27-28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha