Wakolosai 3:23
Wakolosai 3:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mfanyacho, fanyeni kwa moyo wote, kwa sababu ya Bwana na si kwa ajili ya mtu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lolote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lo lote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu
Shirikisha
Soma Wakolosai 3