Wakolosai 3:22
Wakolosai 3:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watumwa, watiini wakuu wenu wa kidunia katika mambo yote, na si tu wakati wanapowatazama kwa kuwa mnataka kujipendekeza kwao; ila fanyeni hivyo kwa moyo wote, kwa sababu ya kumcha Bwana.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninyi watumwa, watiini hao ambao kwa mwili ni bwana zenu, katika mambo yote, si kwa utumwa wa macho, kama wajipendekezao kwa wanadamu, bali kwa unyofu wa moyo, mkimcha Bwana.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3