Wakolosai 3:13
Wakolosai 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe nyinyi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3