Wakolosai 3:11
Wakolosai 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya Mgiriki na Myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. Kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapo hapana Mgiriki wala Myahudi, kutahiriwa wala kutotahiriwa, mgeni wala mshenzi, mtumwa wala muungwana, bali Kristo ni yote, na katika yote.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3