Matendo 27:8
Matendo 27:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tukaipita kwa shida, pwani kwa pwani, tukafika mahali paitwapo Bandari Nzuri. Karibu na hapo pana mji uitwao Lasea.
Shirikisha
Soma Matendo 27