Matendo 27:3
Matendo 27:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kesho yake tulitia nanga katika bandari ya Sidoni. Yulio alimtendea Paulo vizuri kwa kumruhusu awaone rafiki zake na kupata mahitaji yake.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku iliyofuata tukawasili Sidoni; Yulio akamfadhili sana Paulo akampa ruhusa kwenda kwa rafiki zake, apate kutunzwa.
Shirikisha
Soma Matendo 27