Matendo 27:28
Matendo 27:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arubaini. Baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakatupa bildi wakapata pima ishirini, wakaendelea kidogo wakatupa bildi tena, wakapata pima kumi na tano.
Shirikisha
Soma Matendo 27